
Jina lake ambalo Dunia inalitambua kutokana na heshima kubwa aliyoiweka kwenye soka anaitwa Pele ila Jina halali kabisa la utambulisho wake ni Edson Arantes do Nascimento, mmoja ya wakongwe wenye heshima kubwa kwenye soka.

Edson Arantes do Nascimento aka Pelé staa wa Soka Brazil ambae ametimiza umri wa miaka 75 kwa sasa.
October 23 ndio siku
ambayo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, lakini kwa sababu ana
heshima kubwa kwenye soka nikaona nikusogezee kipisi cha moja ya Video
za magoli yake makali aliyowahi kunaswa kipindi akiwa bado anang’aa
kwenye soka.
No comments:
Post a Comment