Erick Evarist
STAA wa
Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameacha aibu ya aina yake barani
Ulaya baada ya gauni lake kuvuka na kuacha ‘nido’ zake hadharani, Risasi
Mchanganyiko lina stori kamili.
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba kwa hisia.
Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao
mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita
katika Jiji la Antwepen, Ubeligiji wakati Shilole aliyeambatana na
mpenzi wake Nuh Mziwanda walipokuwa wamekwenda kutumbuiza katika ukumbi
unaofahamika kwa jina la Togenblink.
No comments:
Post a Comment