Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya
vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika
wakati mgumu baada ya kuvamiwa na vibaka ambao walivunja gari lake na
kuchukua vifaa mbalimbali na fedha dola elfu moja za Marekani sawa na
shilingi 1,900,000 za Kitanzania.......BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment