Niliwahi kukusogezea story kuhusu Movie ya Going Bongo ambayo uzinduzi wake ilikuwa APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. headline nyingine kuhusu uzinduzi ni hii ambayo nimekutana nayo Daily Mail Online..
Headlines inahusu ilivyokuwa kwenye uzinduzi huo ndani ya London Uingereza.. mastaa wengi wa Uingereza walitokezea kwenye Red Carpet ya uzinduzi huo na kufanya story hiyo kupata headlines zenye ukubwa wake mitandaoni.
Hii inaingia kwenye historia kubwa ya kuwa movie ya kwanza iliyotengenezwa ndani ya TZ ambayo imewahi kuandikwa na mitandao ya Magazeti makubwa Uingereza kama Daily Mail.
No comments:
Post a Comment